CHAGUO #1 KWA WATANZANIA

Mwanao kufanya vizuri katika masomo yake ni maamuzi yako mzazi. Tumia simu, tablet, laptop au kumpyuta ya mezani uliyonayo kwa manufaa ya mwanao pia. Mruhusu mwanao kutumia vifaa vyako sio kwa kucheza gemu na kuaangalia picha mtandaoni tu, bali kwa kujifunza na kumsaidia kufanikisha elimu yake.

Ebu tujiulize, ni mara ngapi tunaweka bando na kuangalia picha za watu kwenye status za WhatsApp na facebook, video za youtube, instagram n.k ?. Kama hivyo inawezekana kwanini usiweke bando kwa ajili ya mwanao kufanya mtihani ?.

Huduma hii itakusaidia mambo mengi yakiwemo 

  • Kujua maendeleo ya mwanao kitaaluma
  • Kujua hatua za kuchukua mapema ili kumuwezesha mwanao kufikia ndoto zake
  • Kumsaidia mwanao kupata uzoefu wa maswali mbalimbali
  • Kumsaidia mwanao kupata kipimo halisi na kujipima na wenzie nchi nzima.